Nataka kuwaona TAKUKURU mnachukua hatua stahiki – Rais Dkt. Magufuli

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa TAKUKURU kutosita kuchukua hatua wanapokuwa na ushahidi dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo vya rushwa nchini.

 

 

LEAVE A REPLY