Fungate ya Joti na mkewe Mbugani

0

Mara baada ya kufunga ndoa weekend iliyopita, mchekeshaji Joti na mkewe wameamua kusherekea fungate yao katika mbuga ya wanyama ya Serengeti.

 

Kwenye maisha sio kila vita ni ya kwako,Na sio kila vita inakuhusu,Jifunze kuzitazama na kuzikagua kwanza ili kuzipima vita zinazokujia tokea mbali,ili ufanye maamuzi ya kuingia au kutokuingia,ukiparamia kila vita mwishoni utagundua kuwa umepoteza nguvu nyingi na akili kupambana na maadui ambao wala hawakuwahi kuwa adui zako,ukiingilia vita isio yako utashindwa kirahisi hata kama ulikuwa mtu wa kushinda,Chagua vita unayoweza kupambana nayo..??#saboracamp#OurSingita#SingitaSaboraCamp

A post shared by JOTI (@jotiofficial) on 

LEAVE A REPLY