Video:Uwoya alibadili dini wiki 3 kabla na jina lake jipya ndio hili” – DOGO JANJA

0

Baada ya kuthibitishiwa kwa asilimia zote kwamba ni kweli Dogo Janja na Irene Uwoya wamefunga ndoa sasa ni wakati wa kujua ilikuaje na waliwezaje?

Dogo Janja amehojiwa kwenye LEO TENA ya CloudsFM na kusema “Uwoya alibadili dini na kuwa Muislamu wiki tatu kabla ya ndoa, nilijaribu kuongea nae sababu tulikua tuna imani tofauti yeye ni Mkristo na mimi ni Muislamu, aliridhia kwa nafsi yake wala hakushawishiwa na mtu

Kwenye hii Interview Dogo Janja amesema mambo mengi ikiwemo kutaja jina jipya la Irene Uwoya baada ya kubadili dini ambapo kwa sasa anaitwa Sheila, bonyeza play hapa chini kumsikiliza Dogo Janja zaidi akizungumzia pia ishu ya umri, yeye kuwa mdogo zaidi kuliko Uwoya.

LEAVE A REPLY